Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Sawa mnakubali lakini kitendo Cha kuangalia video sekundi 10 MB 3 zimekata TIKTOK Lite.Yaani una tiktok halafu unalalamika data? Tiktok, instagram na youtube ni majini yanafyonza data kuliko kawaida
Jaribu kuto tumia YouTube, mfano eti unafungua YouTube inayosomeka tofauti na unacho kijuaWataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB.
TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati zamani nilikuwa na UWEZO wa kuzitumia dakika 40 au lisaa zikatosha sasahivi zinaisha ndani ya dakika kumi.
Angalia ni app gani inakula Sana data,Wataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB.
TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati zamani nilikuwa na UWEZO wa kuzitumia dakika 40 au lisaa zikatosha sasahivi zinaisha ndani ya dakika kumi.
TikTok Ina ladha yake sema linakunywa data BIla Mipaka hata ukiweka Data saver.Angalia ni app gani inakula Sana data,
Youtube mnaionea tu Mana inakwambia kila MB unazotumia kwenye video ukiangalia before huja playView attachment 3146224
Kwahiyo Youtube kula MB zako unakuwa umejitakia kwann uplay video ya MB 15 wakat una MB 50
Kwa TikTok me nakushangaa kwann una app kama hiyo kwenye simu yako.
GB za kuhotspot lazima utoe na masharti kabisa Kwa unayemhotspot la sivyo wabongo watazifanya ndivyo sivyo.Mimi GB 2.5 huwa namaliza kwa siku 2. ila kuna siku nimemwashia hotsport mtu zimeisha kwa muda wa kama lisaa hv.