Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Wataalam naombeni mnisaidie hii simu nimejaribu kuweka Data saver na hata kuinstall zile apps za kudetect dat zinapoenda lakini Bado inakunywa MB.
TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati zamani nilikuwa na UWEZO wa kuzitumia dakika 40 au lisaa zikatosha sasahivi zinaisha ndani ya dakika kumi.
TikTok lite MB 100 zinaisha kama upepo wakati zamani nilikuwa na UWEZO wa kuzitumia dakika 40 au lisaa zikatosha sasahivi zinaisha ndani ya dakika kumi.