Barantogwa
Member
- May 3, 2014
- 77
- 64
Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi,
Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya setting vitu vingine vyote vina kubali, lakini upande wa internet hipandishi kabisa mtandao.
Nahitaji msaada wenu Wana jukwaa wa Technology, najua humu kuna wataramu wasio na mipaka.
Natanguliza shukrani.