Barantogwa
Member
- May 3, 2014
- 77
- 64
Sijaelewa unachezanayo vip mkuu?Cheza na APN
Ingia setting nenda sehemu ya data tafuta neno Access Point Name, kisha edit pale kwenye APN andika neno internetSijaelewa unachezanayo vip mkuu?
Nimejalibu lakini bado inanigomeaIngia setting nenda sehemu ya data tafuta neno Access Point Name, kisha edit pale kwenye APN andika neno internet
Chap simu itapandisha mtandao
Iweke kwenye freezer muda km wa saa 1 na Nusu kisha itoe iweke kwenye Oven pandisha moto mpaka juu subiri sekunde 60, andaa ndoo ya lita 20 ijaze maji kisha iweke humu kwa muda wa dakika 10, ukimaliza itoe jaribu kucheck mtandao utakua unasomaNimejalibu lakini bado inanigomea
piga screenshot tuone kwenye APNNimejalibu lakini bado inanigomea