Msaada: Simu yangu ina tatizo kwenye camera

Msaada: Simu yangu ina tatizo kwenye camera

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel
 
Back
Top Bottom