Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.

Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
 
Ni alama ya VPN angalia kama unatumia vpn yoyote uiturn off kitatoka
 
Back
Top Bottom