msaada,sina raha leo

msaada,sina raha leo

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
habari za siku nyingi wanajamvi. kuna msemo kwamba "kukata gogo ni starehe" nimetumia tafsida kidogo ili nisiwakwaze. leo mwenzenu starehe imegeuka kilio kwani nimetoa chozi wakati nakata gogo kwan lilikuwa gumu mpaka sasa sina amani kunako katkat ya makalio. nahisi kama nimechanika. kama kunywa maji huwa nakunywa sijui kama nitakuwa na tatizo jingine. msaada jf doctors na wadau wote
 
kula mapapai kwa wingi halafu usile vyakula vya ngano, kama mikate na maandazi.pia tumi siagi katka msosi wako unaokula. paka mafuta sehemu ya anus atleast ili pasikauke na kupasuka zaid.

ila kama ni mama na unanyonyesha jua kuwa kiasi cha mai unayokunywa bado hakitoshelez hivyo ongeza wingi wa vyakula vya vimiminika zaid.
 
Nimefurahi sana.. Ila pole sana mkuu sipati picha ulivyokuwa unajitahidi kulisukuma khaa.
 
hata ukijua haita tatua tatizo. Be focused.

Nafanya risechi nijue kina hii shida ni kwa wote au ipo zaidi upande m1??

Kwakua mgonjwa ashaeleza kwamba maji anakunywa sana namshauri afuate ushauri huu.

1.Ale matunda yenye celluse kwa wingi mfano,apple/mapeasi,avocado,pia asisahau kula mapapai kwa wingi

2.Afuate utaratibu wa kunywa maji na chakula,anywe maji nusu saa kabla ya kula na baada ya lisaa after mlo.

3.Asile nafaka zilizokobolewa ale mikate ile ya brown pia ale ugali wa dona.
 
jitahidi sana kutumia asali itasaidia kwa mfano vijiko hata viwili kwa siku vya mezani na unjwe maji mengi kwa siku
 
kula mapapai kwa wingi halafu usile vyakula vya ngano, kama mikate na maandazi.pia tumi siagi katka msosi wako unaokula. paka mafuta sehemu ya anus atleast ili pasikauke na kupasuka zaid.

ila kama ni mama na unanyonyesha jua kuwa kiasi cha mai unayokunywa bado hakitoshelez hivyo ongeza wingi wa vyakula vya vimiminika zaid.

asante kwa ushauri!
 
Nimefurahi sana.. Ila pole sana mkuu sipati picha ulivyokuwa unajitahidi kulisukuma khaa.

umefurah nini tedo, yan asikwambie mtu nimeumia kweli. nikawa najiuliza km kuumia ndo hivi sasa wale wanaotumia mtandao wa tigo huwa wanaenjoy vp?
 
Back
Top Bottom