Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
habari za siku nyingi wanajamvi. kuna msemo kwamba "kukata gogo ni starehe" nimetumia tafsida kidogo ili nisiwakwaze. leo mwenzenu starehe imegeuka kilio kwani nimetoa chozi wakati nakata gogo kwan lilikuwa gumu mpaka sasa sina amani kunako katkat ya makalio. nahisi kama nimechanika. kama kunywa maji huwa nakunywa sijui kama nitakuwa na tatizo jingine. msaada jf doctors na wadau wote