Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Sijaelewa kitu!
We ni she or he??
We ni she or he??
hata ukijua haita tatua tatizo. Be focused.
kama ni she 'utashauri tiba tofauti' ?lol
Kwani utofauti wa jinsia unaleta tofauti ya tiba???We ni she or he??
Kwani utofauti wa jinsia unaleta tofauti ya tiba???
Haya umesomeka bwana KingHapana ni risechi tu!
kula mapapai kwa wingi halafu usile vyakula vya ngano, kama mikate na maandazi.pia tumi siagi katka msosi wako unaokula. paka mafuta sehemu ya anus atleast ili pasikauke na kupasuka zaid.
ila kama ni mama na unanyonyesha jua kuwa kiasi cha mai unayokunywa bado hakitoshelez hivyo ongeza wingi wa vyakula vya vimiminika zaid.
hujaelewa nini?
mwenzio kaumia wakati wa kujisaidia....lol
kula vyakula laini.....na maji mengi
kula mapapai choo kilainike.
Nimefurahi sana.. Ila pole sana mkuu sipati picha ulivyokuwa unajitahidi kulisukuma khaa.