Msaada;Sioni ute ute unaotoka kabla ya Ovulation

Msaada;Sioni ute ute unaotoka kabla ya Ovulation

khalta

Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
66
Reaction score
123
Habar zenu
Naomba msaada
Sioni ule ute ambao unatoka siku ya hatar hvy nashindwa kujua ni siku gani ambayo ni sawa kwangu kwa ajili ya kutafuta mtoto

Na ni vyakula vipi naweza kutumia ili kusaidia kutengeneza huo ute kutoka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh shukran sana mpendwa
Mie si mtaalam ila jaribu asali uchanganye na unga wa mdaladini halafu paka kwenye ufizi vema ukifanya hv muda wa kulala

Nb upate ile asali yenyewe na mdalasini wenyewe au unaweza kumtembelea Dada mmoja hivi ana acc yake insta naona amewasaidia wanawake wengi anaitwa hosymichael

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom