Msaada: Sisimizi na utitiri wananisumbua, dawa yake ni nini?

Msaada: Sisimizi na utitiri wananisumbua, dawa yake ni nini?

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavosema,

Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa utitili wa sisimizi walikuwa wamezagaa kitandani hadi kwenye mashuka kiufupi sijalala, wanasumbua hatari aisee, wamezagaa ndani kila corner mpaka naanza kuhisi mambo ya kishirikina huenda kuna uchawi nachezewa.

Hivi dawa ya hawa sisimizi ni ipi.

Hawa n sisimizi jamani, utitiri sio siafu
 
Utitiri dawa yake inauzwaaduka ya chanjo za kuku. Wana dawa kali zinazowamaliza sijawahi jaribu kwa sisimizi
 
Pole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom