Msaada siujui mzigo wangu nilonunua aliexpress ulipo au nimeibiwa?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Habari wakuu

Kuna mzigo wangu niliununua mtandaoni huko aliexpress nilituma kwa njia ya posta ya CHINA POST ORDINARY SMALL PARKET. Mzigo ulivyotoka nje ya china kuja tz ukawa hautrack nikazungumza na seller akanambia nisijali mzigo utafika na nitapigiwa simu au kutumiwa sms na local office (posta)

Cha ajabu hadi muda wa buyer protection umeshaisha na sijapigiwa simu wala kutumiwa sms na posta nifanyeje??

======================================

Update: :::hatimaye mzigo nimeupata posta ulikua umewasili toka mwezi wa 11 tarehe 16
Nashukuruni sana kwa ushauri nzuri
 
Kuna makosa ya mizigo mingine wauzaji wanasahau kuweka no za simu hii ishawah nitokea uzur pale posta wananifahamu jina walipoona jina Langu Ila Hauna no wakanitunzia

Kingine posta wanakawaid kuchanganya unakuta parcel wanaweka Kwenye box la mteja km mteja sio muaminifu Ndio Kwaheriiii akiwa muaminifu anairudisha kwa wahusika.

Niliagiza mzigo wa handbags 5 kila moja inathamani ya dollar 30 mzigo mpk Leo tangu January mwaka Huu tangu hapo Bidhaa siagizi ikazidi dollar 10 kwakweli.
 
mpaka leo hujapata?
 
Online sio salama kabisa kununua vitu, nilipoteza usd 350
 
Kuship kwa njia ya posta ni bei rahisi ila ni rahisi mzigo kupotea
 
Eeh pole hata mimi nishapoteza pesa online aiseeh now biashara ninayoiamini ile ya mtu kwa mtu ya online then nalipa kwa PayPal usipopata mzigo wao wanakulipa
nimeshaupata boss
 
nimeshaupata mkuu
 
Toa maelezo ulinunua mtandao gani, ulilipia kwa njia gani, shipping imechukua siku ngapi, vp hujakutana na changamoto za TRA na pia mzigo umeuchukulia wapi.

Nadhani itasaidia zaidi
 
Toa maelezo ulinunua mtandao gani, ulilipia kwa njia gani, shipping imechukua siku ngapi, vp hujakutana na changamoto za TRA na pia mzigo umeuchukulia wapi.

Nadhani itasaidia zaidi
Kweli Mkuu itasaidia sn na wengine wapate uzoefu
 
Toa maelezo ulinunua mtandao gani, ulilipia kwa njia gani, shipping imechukua siku ngapi, vp hujakutana na changamoto za TRA na pia mzigo umeuchukulia wapi.

Nadhani itasaidia zaidi
aliexpress ndugu
sijakatwa kodi yoyote
nilitumia free shipping
mzigo ulichukua siku 40 kwsbb nilitumia free shipping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…