toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Habari wakuu
Kuna mzigo wangu niliununua mtandaoni huko aliexpress nilituma kwa njia ya posta ya CHINA POST ORDINARY SMALL PARKET. Mzigo ulivyotoka nje ya china kuja tz ukawa hautrack nikazungumza na seller akanambia nisijali mzigo utafika na nitapigiwa simu au kutumiwa sms na local office (posta)
Cha ajabu hadi muda wa buyer protection umeshaisha na sijapigiwa simu wala kutumiwa sms na posta nifanyeje??
======================================
Update: :::hatimaye mzigo nimeupata posta ulikua umewasili toka mwezi wa 11 tarehe 16
Nashukuruni sana kwa ushauri nzuri