Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hicho kitu ulichokinunua, umeokoa sh ngapi kama ungenunua hapa bongo?pamoja sana
Kweli mkuu posta yetu ni shida sana. Inaendeshwa kizamani sana na wafanyakazi wengi ni wa kizamani,wazeee au hwanaelewa wa mambo ya sasa. Mfano mm mzgo ulifika mwezi umeisha na nikicheki kwenye sanduku hakuna notification so hadi ukaulizie wakutafutie kwenye rundo la mizigoYaani posta kuna matatizo sana.
China mkuukikuu ni ya wap?
Ilikuwa imekwama wapi Mkuu?aliexpress ndugu
sijakatwa kodi yoyote
nilitumia free shipping
mzigo ulichukua siku 40 kwsbb nilitumia free shipping