Karanga Mwitu
Member
- Nov 2, 2018
- 45
- 71
Asante Kwa mawazoKuna masimu flani ya itel,tecno na infinix huwa yana kigugumizi kwenye WIFI,embu jaribu kubadili line likigoma shusha mnara uwe 3g,kama limekataa tena basi reset network na ikigoma kabisa inabidi ureset system nzima.
AsanteJaribu ku Rest network settings.
Ikishindikana basi kamwone daktari wa simu (fundi).
Fundi akishindwa, basi achana na hicho kifaa cha mawasiliano, nunua SIMU.
AseeJaribu ku Rest network settings.
Ikishindikana basi kamwone daktari wa simu (fundi).
Fundi akishindwa, basi achana na hicho kifaa cha mawasiliano, nunua SIMU.
Asante, natumia infinix hot8Embu Fanya hivi
Kama ulishawah konect hiyo wi fi nenda forget wi fi
The reboot cm yako
Kama unaweza clea ache na clea data WiFi network
Ni vyema ungesema model ya simu ili usaidiwe upesi
Driver ya wireless kwenye compyuta iko vizuriUpdate drivers za network/ wireless connectivity
Nimerestart bado tatizo lipo
Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa haikubali inasema " Window unable to connect". Nimejaribu kutumia Tecno, imezingua ila nimetumia simu ya jamaa yangu Aina ya Huawei imeconnect vizuri.
Sasa nikawaza labda nifomati simu, nikafomati haijakubali.
Changamoto ndo hiyo wadau naomba msaada, upande wa kompyuta yangu iko poa tu changamoto ni simu. Kwa anayejua namna kutatua Hilo tatizo.
Karibuni wadau.
Ziko vizuri mkuuSettings za simu USB Preferences zipo sawa sawa mkuu?