Msaada: Soko la Dhahabu kwa jiji la Dar es Salaam

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
10,677
Reaction score
11,768
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
 
Mkuu wazo lako zuri ngoja nikusaidie kufanya research ya masoko na garama zake zikoje tupige kazi, ilimradi dhahabu ziwe zenyewe na original.
My Contact: 0785-074040 Whatssap mawasiliano na info zaidi.
 
Soko la dhahabu dar ni la uhakika hata uwe na kilo 1 mtaa wa kisutu kuna Jewelers wengi sana. Tahadhari, usifanye mawasiliano na mtu au sonara wa kibongo utatapeliwa mkuu
 
Wanauza shillings/dollar ngapi Mozambique?
 
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
Tuwasiliane mkuu ,ni pm namba yako
 
Grm 80000 ila inategemea ubora wa dhahabu yako naamanisha % yake,
Wanunuzi wako wengi nenda mtaa wa msikiti(mosque st)wale wadosi wenye sonara zile wananunua bila shida kikubwa dhahabu owe ya kweli syo magumashi
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
 
Wanunuzi wakubwa ni wale wamiliki wa sonata kubwa kama crown jewelers,metro jewelers etc wadosi wale syo longolongo
Labda sonata za uchochoroni ndy wazushi
Soko la dhahabu dar ni la uhakika hata uwe na kilo 1 mtaa wa kisutu kuna Jewelers wengi sana. Tahadhari, usifanye mawasiliano na mtu au sonara wa kibongo utatapeliwa mkuu[/QUOTE
 
Wanunuzi wakubwa ni wale wamiliki wa sonata kubwa kama crown jewelers,metro jewelers etc wadosi wale syo longolongo
Labda sonata za uchochoroni ndy wazushi
Ni kweli mkuu, na CROWN ndo nilipopazowea hata niwe na gram 40 siwezi kuuza kwa sonara wa uchocholoni
 
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
nchek kwenye 0626356990, watsapp 0659254929
 
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
Kuuza dhahabu ni sawa na kuuza pipi kwa mtoto. Nenda town mtaa wa Indira Gandi kwa masonara utakaribishwa mikono miwili
 
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.

Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar

Ugumu unakuja sijajua soko likoje

Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?

Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?

Ahsanteni wandugu.
Bado upo mozambique...????
 
Oky..vipi kuhusu soko kwamfano kununulia migodini na kuuza huku..biashara ikoje
Biashara ya madini unatakiwa uwe na elimu nayo. Inategemea sana na purity ya madini na bei ya wakati ule. Ni rahisi sana kuingizwa mjini. Ukifanya kwa kubahatisha haiwezi kukuchukuwa muda mtefu kabla hujala hasara!
 
Asante kwa ushauri mzuri..lengo langu mapema mwakani nianze hii biashara..nifanyeje ili niisile hasara na nisiingizwe mjini..ukizingatia sina elimu ya kutosha kuhusu hii biashara..
 
Tafuta elimu ya biashara hii especially kweenye field ya quality katika manunuzi na market katika upande wa mauzaji.

Alternatively utafute mtu unayemuamini akusaidie katika masuala haya mawili hasa katika manunuzi
 
Back
Top Bottom