Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.