Tuwasiliane mkuu ,ni pm namba yakoMwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.
Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.
Soko la dhahabu dar ni la uhakika hata uwe na kilo 1 mtaa wa kisutu kuna Jewelers wengi sana. Tahadhari, usifanye mawasiliano na mtu au sonara wa kibongo utatapeliwa mkuu[/QUOTE
Ni kweli mkuu, na CROWN ndo nilipopazowea hata niwe na gram 40 siwezi kuuza kwa sonara wa uchocholoniWanunuzi wakubwa ni wale wamiliki wa sonata kubwa kama crown jewelers,metro jewelers etc wadosi wale syo longolongo
Labda sonata za uchochoroni ndy wazushi
nchek kwenye 0626356990, watsapp 0659254929Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.
Kuuza dhahabu ni sawa na kuuza pipi kwa mtoto. Nenda town mtaa wa Indira Gandi kwa masonara utakaribishwa mikono miwiliMwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.
Bado upo mozambique...????Mwanzo mgumu wakuu, na kila jambo linahitaji ufahama kabla ya kulivamia.
Niko zangu Mozambique ki maisha, huku niliko nimelifumania chaka linatoa dhahabu sasa nimepanga kununua nakuja kuuza hapo Dar
Ugumu unakuja sijajua soko likoje
Kwamfano gram moja inauzwaje hapo bongo?
Vipi hakuna longo longo zozote kutoka kwa wanunuzi?
Ahsanteni wandugu.
Kwanini mkuuKuuza dhahabu ni sawa na kuuza pipi kwa mtoto. Nenda town mtaa wa Indira Gandi kwa masonara utakaribishwa mikono miwili
Yaani ukiwa na dhahabu wateja wa dhahabu wako wengi tu!Kwanini mkuu
Oky..vipi kuhusu soko kwamfano kununulia migodini na kuuza huku..biashara ikojeYaani ukiwa na dhahabu wateja wa dhahabu wako wengi tu!
Biashara ya madini unatakiwa uwe na elimu nayo. Inategemea sana na purity ya madini na bei ya wakati ule. Ni rahisi sana kuingizwa mjini. Ukifanya kwa kubahatisha haiwezi kukuchukuwa muda mtefu kabla hujala hasara!Oky..vipi kuhusu soko kwamfano kununulia migodini na kuuza huku..biashara ikoje
Asante kwa ushauri mzuri..lengo langu mapema mwakani nianze hii biashara..nifanyeje ili niisile hasara na nisiingizwe mjini..ukizingatia sina elimu ya kutosha kuhusu hii biashara..Biashara ya madini unatakiwa uwe na elimu nayo. Inategemea sana na purity ya madini na bei ya wakati ule. Ni rahisi sana kuingizwa mjini. Ukifanya kwa kubahatisha haiwezi kukuchukuwa muda mtefu kabla hujala hasara!
Tafuta elimu ya biashara hii especially kweenye field ya quality katika manunuzi na market katika upande wa mauzaji.Asante kwa ushauri mzuri..lengo langu mapema mwakani nianze hii biashara..nifanyeje ili niisile hasara na nisiingizwe mjini..ukizingatia sina elimu ya kutosha kuhusu hii biashara..