Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.
Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa ivunwe haraka
Sasa kwa miche 1000 ni wastani wa papai 2000 kwa wiki,hizi ni papai nyingi kwa mini papai nyingi kwa mimi mkulima ninaeanza
Sasa kama kuna mtu ana connection ya soko la kukusanya papai 2000 kwa wiki au zaidi naomba
Location: Muheza Tanga