Msaada: Soko la papai

Msaada: Soko la papai

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.

Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa ivunwe haraka
Sasa kwa miche 1000 ni wastani wa papai 2000 kwa wiki,hizi ni papai nyingi kwa mini papai nyingi kwa mimi mkulima ninaeanza

Sasa kama kuna mtu ana connection ya soko la kukusanya papai 2000 kwa wiki au zaidi naomba

Location: Muheza Tanga
 
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri,
Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa ivunwe haraka
Sasa kwa miche 1000 ni wastani wa papai 2000 kwa wiki,hizi ni papai nyingi kwa mini papai nyingi kwa mimi mkulima ninaeanza
Sasa kama kuna mtu ana connection ya soko la kukusanya papai 2000 kwa wiki au zaidi naomba
Location: Muheza Tanga
Ikifika wakati wa mavuno tuwasiliane.
 
Habari wakulima na Wafugaji
Mimi ni mkulima Mdogo wa mazao ya Matunda kama machungwa na passion ila nimejaribu na kilimo cha papai naona kinakuja vizuri.

Nimeanza na miche 1000 ya kisasa na inakuja vizuri na imeanza kubeba, nimeanza kupata hofu ya soko maana kawaida ya papai ikikomaa ibatakiwa ivunwe haraka
Sasa kwa miche 1000 ni wastani wa papai 2000 kwa wiki,hizi ni papai nyingi kwa mini papai nyingi kwa mimi mkulima ninaeanza

Sasa kama kuna mtu ana connection ya soko la kukusanya papai 2000 kwa wiki au zaidi naomba

Location: Muheza Tanga
Nataka nijiingize kwenye hiki kilimo cha papai. Shamba lipo muheza na mimi. Vipi mrejesho wa soko. Na je narushusiwa kuja kukutembelea mtaalam nijifunze jambo? mkulina na mfugaji
 
Back
Top Bottom