B Binti Ally New Member Joined Feb 8, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Oct 7, 2024 #1 Habari, mimi nimeamua kujitafuta kwa kutengeneza ubuyu, natafuta duka au soko ili niwe nauza kwa jumla. Nipo Morogoro Mazimbu.
Habari, mimi nimeamua kujitafuta kwa kutengeneza ubuyu, natafuta duka au soko ili niwe nauza kwa jumla. Nipo Morogoro Mazimbu.
M mr.chengachenga Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 155 Reaction score 104 Oct 8, 2024 #2 Unatafuta soko na hujaweka bei kutoka hapo kwenye kiwanda chako ikoje Unapatikana eneo gani Una ubuyu qa namna gani na maelekezo mengine yenye tija
Unatafuta soko na hujaweka bei kutoka hapo kwenye kiwanda chako ikoje Unapatikana eneo gani Una ubuyu qa namna gani na maelekezo mengine yenye tija