Msaada soko la ubuyu

Msaada soko la ubuyu

Binti Ally

New Member
Joined
Feb 8, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Habari, mimi nimeamua kujitafuta kwa kutengeneza ubuyu, natafuta duka au soko ili niwe nauza kwa jumla.

Nipo Morogoro Mazimbu.
 
Unatafuta soko na hujaweka bei kutoka hapo kwenye kiwanda chako ikoje
Unapatikana eneo gani
Una ubuyu qa namna gani na maelekezo mengine yenye tija
 
Back
Top Bottom