Msaada spea ya Toyota Alteza

Msaada spea ya Toyota Alteza

Nguvuyabwana

Senior Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
195
Reaction score
483
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
 
Shukrani mkuu!. Japo ningepata msaada wa mtu aliye nayo ingekua poa zaidi. Nipo Dom
Mkuu dom umekosa kweli? Altezza spare zake kama zote... Hebu wapigie hawa watu wawili 0766999775 au 0657898592.
Angalizo wakisema wanayo msije tumiana pesa ukidhani nafahamiana nao personally ila nachojua wanauza spare nishanunua spare kwao kwa kwenda physically tu.
 
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
Mkuu dom umekosa kweli? Altezza spare zake kama zote... Hebu wapigie hawa watu wawili 0766999775 au 0657898592.
Angalizo wakisema wanayo msije tumiana pesa ukidhani nafahamiana nao personally ila nachojua wanauza spare nishanunua spare kwao kwa kwenda physically tu.
Shukrani kaka!. Ngoja niwacheki
 
Kuna wadau baadhi niliwacheki wakanitumia kama mara mbili zote bado zinachangamoto. Kuhusu bei waliniambia 350k mkuu 😀
Mh labda. Si unasema throttle body? Mimi nimenunua za dualis mara 2 kila moja kwa 90k
 
Kuna wadau baadhi niliwacheki wakanitumia kama mara mbili zote bado zinachangamoto. Kuhusu bei waliniambia 350k mkuu 😀
Ila inawezekana mkuu ya altezza ikawa bei ghali nimecheka hapa internet used kenya ni 10,000kes ambazo roughly ni kama 240000 za tz. Na engine 3s na inaingiliana na rav4, caldima, celica, vista, camry, avensis, corona
 
Ndio hivyo Kaka
 
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
Nicheki WhatsApp 0712 148001
 
Back
Top Bottom