Msaada spea ya Toyota Alteza

Msaada spea ya Toyota Alteza

Ila inawezekana mkuu ya altezza ikawa bei ghali nimecheka hapa internet used kenya ni 10,000kes ambazo roughly ni kama 240000 za tz. Na engine 3s na inaingiliana na rav4, caldima, celica, vista, camry, avensis, corona
3S YAMAHA ni engine tofauti kabisa, na haifungi kwenye hizo ulizotaja, hiyo ina extra power na ilitengenezwa ki sports zaidi.

Sio kila alteza huwa inakuja na engine 3S YAMAHA, Nyingine huwa zinakuja na engine 3S ya kawaida ambayo ndio zinaweza zikafungwa katika gari ulizozitaja.

Kwa mahitaji ya engine na spea used za magari tofauti
WhatsApp 0712 148001
20250219_083436.jpg
 
Kuna wadau baadhi niliwacheki wakanitumia kama mara mbili zote bado zinachangamoto. Kuhusu bei waliniambia 350k mkuu 😀
Ya 3sge hiyo ndio bei yake,tandale kuna jamaa nawajua walikata altezza,ila ndio hivyo spea za tandale sometimes zinakua sio
 
Back
Top Bottom