Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Tumwesige senior 👍Mnyenz kuna dili zako huku changamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumwesige senior 👍Mnyenz kuna dili zako huku changamka
3S YAMAHA ni engine tofauti kabisa, na haifungi kwenye hizo ulizotaja, hiyo ina extra power na ilitengenezwa ki sports zaidi.Ila inawezekana mkuu ya altezza ikawa bei ghali nimecheka hapa internet used kenya ni 10,000kes ambazo roughly ni kama 240000 za tz. Na engine 3s na inaingiliana na rav4, caldima, celica, vista, camry, avensis, corona
Throttle ya 3sge inaanzia laki 3 kwenda juuNenda gerezani huko zimejaa tele. Nahisi haiwezi hata kufika 80000
Ya 3sge hiyo ndio bei yake,tandale kuna jamaa nawajua walikata altezza,ila ndio hivyo spea za tandale sometimes zinakua sioKuna wadau baadhi niliwacheki wakanitumia kama mara mbili zote bado zinachangamoto. Kuhusu bei waliniambia 350k mkuu 😀