S sikiolakufa JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 411 Reaction score 54 Apr 6, 2013 #1 Wakuu naomba msaada..mwanangu ana umri wa miaka mitano hajawahi kusumbuliwa na masikio ila nahisi ana inflamation kwenye masikio inayomsababishia homa je dar doctor gani anaweza nisaidia? Maana muhimbili ndiyo hivyo tena
Wakuu naomba msaada..mwanangu ana umri wa miaka mitano hajawahi kusumbuliwa na masikio ila nahisi ana inflamation kwenye masikio inayomsababishia homa je dar doctor gani anaweza nisaidia? Maana muhimbili ndiyo hivyo tena
S SITABIRIKI JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 364 Reaction score 105 Apr 9, 2013 #2 Nenda Muhimbili kitengo cha MASIKIO PUA na KOO(ENT) mtafute DR ENICA au KIMARIO watakusaidia