Msaada specialist wa masikio kwa watoto dar es salaam

Msaada specialist wa masikio kwa watoto dar es salaam

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
54
Wakuu naomba msaada..mwanangu ana umri wa miaka mitano hajawahi kusumbuliwa na masikio ila nahisi ana inflamation kwenye masikio inayomsababishia homa je dar doctor gani anaweza nisaidia? Maana muhimbili ndiyo hivyo tena
 
Nenda Muhimbili kitengo cha MASIKIO PUA na KOO(ENT) mtafute DR ENICA au KIMARIO watakusaidia
 
Back
Top Bottom