Wadau anaejua kuhusu mazingira ya st john tawi la st mark hapa dar re salaam. Vipi ina hostel kwa watu wote? Au kama haina vipi kuna maeneo jirani na pale chuon wanatoa huduma za hostel? Msaada tafadhali
wahi chuo ukatafute sehemu za jirani kupanga kwani unavyochelewa wenzako wanajaza nafasi hivyo kukulazimu ukapange mbali pa hata gari moja ndipo ufike chuo. Changamka maeneo ya karbu upate room ila ukikosa kapange hata kigogo, kwajuni au kinondoni upande gari 1 la buguruni kwa miez6 ukitafuta ustarabu wa karibu au ilala bungoni. Cha muhimu wahi kutafuta chumba upange na wenzako karibu.
Usipende kufahamu chuo kwa kushinda kwenye keyboard tu chukua hatua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.