Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unamaanisha iko slow hapa na pale lakini inaendelea kufanya kazi hii inaweza kutokea hasa kwenye simu ambazo ni low end, hazina RAM ya kutosha na CPU yenye nguvu ya kutosha kuwa smooth kila wakati, jaribu kuipunguzia mzigo kwa kupunguza idadi ya app zinazorun, kuacha space empty ya kutosha (10-20%) etc. Pia kutegemea na simu kunaweza kukawa na settings kama za kuokoa battery ambazo zinapunguza performance ya CPU zaidi unaweza kuzizima pia unaweza kuzima animations inaweza kusaidia.
View: https://www.youtube.com/watch?v=VZK7J73uzCg