gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 202
Hahahaha eti chick magnet...nunua mark X tuHilo Suzuki every lina muonekani mbaya aiseee. Chukua Jimny, Cousin sister wa Prado, kwa upande wa off road. Sema duh, unasikiaje vishimo. In short Jimny hamna comfortability. Limekaa ki kazi kazi. Mafuta linanusa aisee hata Passo haioni ndani. Lakini kama wewe unataka kuwa chick magnet, itakuwa dead. But its better than walking.
Good luck
-callmeGhost
wakuu sasa inakula km ngap kwa lita?
kwa mwenyejibu anisaidie
Acha kufananisha jimny na upuuzSuzuki jimmy VS Toyota Cami....ipi nzuri zaidi?