Msaada: Suzuki every VS Suzuki jimny.

Msaada: Suzuki every VS Suzuki jimny.

Hilo Suzuki every lina muonekani mbaya aiseee. Chukua Jimny, Cousin sister wa Prado, kwa upande wa off road. Sema duh, unasikiaje vishimo. In short Jimny hamna comfortability. Limekaa ki kazi kazi. Mafuta linanusa aisee hata Passo haioni ndani. Lakini kama wewe unataka kuwa chick magnet, itakuwa dead. But its better than walking.

Good luck

-callmeGhost
Hahahaha eti chick magnet...nunua mark X tu
 
Suzuki jimmy VS Toyota Cami....ipi nzuri zaidi?
 
Madalali Catalunya round about Mlimani City wana gari mpaka za 1m.
**Usiku pale kwenye magari panageuka gesti bubu kwa wauza vipochi
 
Engine ya suzuki jimmy M13A inauzwa shilingi ngapi? Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom