Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Shukrani mkuu. Vipi kuhusu long trip. Gari inatembea vizuri na stability ya kutosha? Iko comfortable ?Mie ninayo ya 2.4cc Mannual 5 Gears, tangu 2020 sijaona tatizo ambalo ni sugu tofauti na thermostat tu. Iliyokuepo olikufa Kila niliweka mpya inapandisha temperature, nikaamua kuitupilia mbali Kwa sasa naitumia bila thermo.
Wakati Ina thermo fuel consumption ilikuwa inanipa 12-13 km/L town trip, sasa hivi inanipa 10-12Km/L Naishi nayo hivyo hivyo.