Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Shukrani mkuu. Vipi kuhusu long trip. Gari inatembea vizuri na stability ya kutosha? Iko comfortable ?Mie ninayo ya 2.4cc Mannual 5 Gears, tangu 2020 sijaona tatizo ambalo ni sugu tofauti na thermostat tu. Iliyokuepo olikufa Kila niliweka mpya inapandisha temperature, nikaamua kuitupilia mbali Kwa sasa naitumia bila thermo.
Wakati Ina thermo fuel consumption ilikuwa inanipa 12-13 km/L town trip, sasa hivi inanipa 10-12Km/L Naishi nayo hivyo hivyo.
Zaidi 140km/hr inapoteza stability. Labda kama una mzigo au mpo full 5 occupants. Mara nyingi nasafiri tukiwa watu 2 so Huwa sizidishi 120 km/hr....naenda zaidi kama naovertake tu baada ya hapo narudi zangu 120. Dash inasoma 220km/hr.Shukrani mkuu. Vipi kuhusu long trip. Gari inatembea vizuri na stability ya kutosha? Iko comfortable ?
Mi yangu nilisafiri nayo sana, ilikuwa inatulia barabarani ila kwa kuwa ni J20 ilikuwa haina mwendoShukrani mkuu. Vipi kuhusu long trip. Gari inatembea vizuri na stability ya kutosha? Iko comfortable ?
120kph kwa barabara ipi Tanganyika?Zaidi 140km/hr inapoteza stability. Labda kama una mzigo au mpo full 5 occupants. Mara nyingi nasafiri tukiwa watu 2 so Huwa sizidishi 120 km/hr....naenda zaidi kama naovertake tu baada ya hapo narudi zangu 120. Dash inasoma 220km/hr.
NB: Umri nao unachangia kuogopa speed
HahahahahaGari makini na imekaa kishua. Mademu unaokota tu vituoni au vyuoni eg. IFM na CBE
Mi sipendi speed ila wewe utakuwa umenizidi kama hujawahi kuendesha au kuendeshwa kwa speed ya 120kph. Barabara za mikoani karibu zote unaweza kutembea na hii speed kwa vipande virefu tu. Na siwezi kuiita ni speed ya hatari sana hasa sehemu amabazo hakuna watu.120kph kwa barabara ipi Tanganyika?
Arusha Dar, Arusha Dodoma kupitia kuondoa ( hii kama huna familia 200km/h fresh tu). Mbona barabara kibao tu za mikoani zipo fresh? Au ww ndugu yangu upo Mkoa Gani?120kph kwa barabara ipi Tanganyika?
Arusha - Dodoma ukivuka 120kph jiandae kupindukaArusha Dar, Arusha Dodoma kupitia kuondoa ( hii kama huna familia 200km/h fresh tu). Mbona barabara kibao tu za mikoani zipo fresh? Au ww ndugu yangu upo Mkoa Gani?