Msaada: Swali la Ufahamu

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake.

Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani?
Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita sehemu nimeona kanisa limeandikwa Kanisa ... la Malaika mkuu Gabriel
 
Malaika wakuu ni
Mikaeli
Rafael
Gabriel
Na shetan anaetwa
Lusifael . Aliyeasi ni Lusifael sio Gabriel so Lusifael na wafuasi wake au malaika zake ndio walioasi. Na Lusifael alikuwa anaongoza kitengo cha sifa ya music nk. Na kama na wewe ni Sehem ya wanaoasi maagizo ya Mungu basi na wewe ni Sehem ya wafuasi wa Lusifael.
 
Uzi uishie hapa maana umemaliza Kila kitu na Mimi nimeongeza kitu.
 
Malaika wakuu ni
Mikaeli
Rafael
Gabriel
Na shetan anaetwa
Lusifael . Aliyeasi ni Lusifael sio Gabriel so Lusifael na wafuasi wake au malaika zake ndio walioasi. Na Lusifael alikuwa anaongoza kitengo cha sifa ya music nk
Nashukuru
 
Hizo ni hadithi za kutunga tu ndugu, wala zisikuumize kichwa.
 

Wewe unahitaji mafundisho kutoka kwa kitali. Muulize maswali mengi anaweza kukujibu.
 
Hiyo imani ya Kikristu inayo itikadi haya uliyoandika itakuwa imeanzishwa na Faana
 
Tunga na wewe na watu wengi waiamini.
Walishatunga akina Isaya huko na akina Muhamed, sio lazima kila mtu atunge.

Seleman Msindi wa Morogoro aliwahi kusema sio lazima wote tuwe wasanii, inatosha sasa wengine tubaki ushabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…