Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake.
Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani?
Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita sehemu nimeona kanisa limeandikwa Kanisa ... la Malaika mkuu Gabriel