Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
umeanza kumshauri vizuri ila hapo mwisho ulivyomalizia inadhihirisha kabisa wewe ni mtanzania...hebu tuwekee ile picha ya range rover yakonenda kwa fundi! ila jua kuwa hakunaga passo nzima duniani, zote ni majanga! mwisho kabisa, we dume zima unaendeshaje ka passo?
acha ukuda basnenda kwa fundi! ila jua kuwa hakunaga passo nzima duniani, zote ni majanga! mwisho kabisa, we dume zima unaendeshaje ka passo?
Sio ukuda, wewe ndio uelewe vizuri!acha ukuda bas
Kuna mtu alinishauri nitoe temino za betry kwa dakika kama kumi hivi,then niwashe,nimefanya hivyo taa imezima mpaka leo haijawaka,nashukuru kwa ushauri wenu,ingawa imezima ila tapita nikafanye check up kwenye vipimo mlivyoshauri!
Mara ya mwisho kubadilisha oil ni lini? Inawezekana oil imeshakaa muda mrefu hivyo imepoteza viscocity - η (ute ute)... Kama hujabadilisha muda mrefu, anza na kuchek oil...
Watanzania bhana[emoji16][emoji16][emoji16],mimi nimekaa na hiyo gari mwaka wapili sasa sijawahi pata hilo tatizo la sterling rack na ninakaa rough road...PASSO ndg yang nakushauri tafuta mtu umuuzie hizo gari ni mbovu Sana kwanza zinatatizo katika mfumo wake wa sterling inaweza kugonga hadi ukachanganyikiwa