M moxx300 New Member Joined Aug 16, 2023 Posts 1 Reaction score 1 Aug 25, 2023 #1 Habari jamani? Gari yangu aina ya Raum 2nd gen taa yake ya indicator ya kulia haizimi automatically, vile ukikata usukani upande wa kushoto ni mpaka uizime wewe mwenyewe dereva. Mwenye uzoefu wa hili tatizo msaada wa solution yake wadau.
Habari jamani? Gari yangu aina ya Raum 2nd gen taa yake ya indicator ya kulia haizimi automatically, vile ukikata usukani upande wa kushoto ni mpaka uizime wewe mwenyewe dereva. Mwenye uzoefu wa hili tatizo msaada wa solution yake wadau.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Aug 25, 2023 #2 Madereva wa miaka ya 90 owner's manual ya gari ilikua inaelekeza jinsi ya ku adjust valve Lakin madereva wa sikuhizi mnaonywa msinywe maji ya betri.
Madereva wa miaka ya 90 owner's manual ya gari ilikua inaelekeza jinsi ya ku adjust valve Lakin madereva wa sikuhizi mnaonywa msinywe maji ya betri.