Msaada: Taa ya indicator haizimi

Msaada: Taa ya indicator haizimi

moxx300

New Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habari jamani?

Gari yangu aina ya Raum 2nd gen taa yake ya indicator ya kulia haizimi automatically, vile ukikata usukani upande wa kushoto ni mpaka uizime wewe mwenyewe dereva.

Mwenye uzoefu wa hili tatizo msaada wa solution yake wadau.
 
Madereva wa miaka ya 90 owner's manual ya gari ilikua inaelekeza jinsi ya ku adjust valve

Lakin madereva wa sikuhizi mnaonywa msinywe maji ya betri.
 
Back
Top Bottom