Msaada Taa ya Mbele Mazda CX-7

Msaada Taa ya Mbele Mazda CX-7

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu habari.

Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007.

Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru.

Asanteni.
 
watafute autovisiontz instagram wakufogie

Natamani sana kumiliki gari tofauti na toyota lkn linapokuja suala kama hili ndo huwa nasita!Hiyo taa ya mazda mkuu hapa bongo sio rahisi kupata,labda uagize toka nje,jaribu kuwaona beforwad wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom