Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari.
Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007.
Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru.
Asanteni.
Natamani sana kumiliki gari tofauti na toyota lkn linapokuja suala kama hili ndo huwa nasita!Hiyo taa ya mazda mkuu hapa bongo sio rahisi kupata,labda uagize toka nje,jaribu kuwaona beforwad wanaweza kukusaidiaWakuu habari.