Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 22, 2017 #1 Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni.
Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni.
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,585 Reaction score 1,771 Mar 23, 2017 #2 watafute autovisiontz instagram wakufogie Mad Max said: Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni. Click to expand...
watafute autovisiontz instagram wakufogie Mad Max said: Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni. Click to expand...
Mbalamwezi1 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 2,073 Reaction score 2,026 Mar 23, 2017 #3 Mad Max said: Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni. Click to expand... Natamani sana kumiliki gari tofauti na toyota lkn linapokuja suala kama hili ndo huwa nasita!Hiyo taa ya mazda mkuu hapa bongo sio rahisi kupata,labda uagize toka nje,jaribu kuwaona beforwad wanaweza kukusaidia
Mad Max said: Wakuu habari. Msada taa ya Mbele ya upande wa Kushoto ya Mazda CX-7 Model No. CBA-ER3P(Station Wagon) ya mwaka 2007. Nimeangaika kadri ya uwezo wangu nimekosa. Anaeweza kunipa direction zaidi wapi naweza kupata nitashukuru. Asanteni. Click to expand... Natamani sana kumiliki gari tofauti na toyota lkn linapokuja suala kama hili ndo huwa nasita!Hiyo taa ya mazda mkuu hapa bongo sio rahisi kupata,labda uagize toka nje,jaribu kuwaona beforwad wanaweza kukusaidia