Msaada taarifa kuhusu utaratibu wa kufungua tuition na re-siter centers

Tunsume

Member
Joined
Aug 25, 2008
Posts
72
Reaction score
24
Tafadhali naomba msaada na taarifa jinsi ya kusajili tuition na re-siter center. Hii ni huduma ya kutoa tuittion kwa ajili ya wananfunzi waliofeli mitihani ya form four na six na pia kuwa huduma ya mafunzo kwa ajili ya kurudia mitihani hiyo. Pia tunataka kutoa huduma ya kuwafundisha vijana kwa ajili ya kufanya mitihani ya IGSCE, PSAT etc. Paomoja na taarifa ni vizuri kujua kama kuna mtu anatoa huduma ya kufanya usajili haswa mkoani Arusha
 
Tafadhali mwenye taarifa kuhusu utaratibu wa kusjaili tuition and re-siers center anipigie simu namba 0753 087713 ama anitumir
 
nenda wizara ya elimu nahisi watakuwa na chochote cha kukusaidia...
all the best mkuu ni biashara nzuri sana hiyo coz wanafunzi wengi wa siku hizi wanafeli sana sijui tatizo ni nini mfumo mbaya wa elimu au matoto yetu yenyewe ni vilaza
ANGALIA TU MSIWAPE MIMBA WANAFUNZI WA KIKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…