Tafadhali naomba msaada na taarifa jinsi ya kusajili tuition na re-siter center. Hii ni huduma ya kutoa tuittion kwa ajili ya wananfunzi waliofeli mitihani ya form four na six na pia kuwa huduma ya mafunzo kwa ajili ya kurudia mitihani hiyo. Pia tunataka kutoa huduma ya kuwafundisha vijana kwa ajili ya kufanya mitihani ya IGSCE, PSAT etc. Paomoja na taarifa ni vizuri kujua kama kuna mtu anatoa huduma ya kufanya usajili haswa mkoani Arusha