Msaada: Taarifa za information systems management

Msaada: Taarifa za information systems management

Joined
Jul 8, 2022
Posts
18
Reaction score
18
Habari wakuu,

Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea kuhusu kozi hii tafadhari.

Naombeni ushauri wakuu
 
Kuhusu vitu vya kusomea,pakua prospectus ya chuo uisome vizur na kuielewa,hakuna. Pili kwenye soko la ajira wataalamu wa fani hii ya Utawala wa mifumo ya mawasiliano wanahitajika kwenye idara katiba zote yaani MDAs naLGAs, International organization, private sector institutions na NGOs,kwa uchache ni hayo tu. Na wengine watachangia.
 
Asante sana
Watu wengi wananiiambia kuwa kozi hiyo ni ya IT kwaio mtaani wapo wengi sana hivi naweza kumaliza nikarudi kuuza mitumba
Naomba uzoefu wako juu ya kozi hii hasa katika ajir ina compitation kubwa kama IT nyingine?
 
Habari wakuu,

Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea kuhusu kozi hii tafadhari.

Naombeni ushauri wakuu
I real Appreciate this course! Oyaa chuo gani wew tujuanee bana mimi naenda ardhi. Wew upo selected wapi!?
 
Vijana mnaoenda ardhi nawashauri pale shule ni ngumu sana ngumu mnoooo ukizembea unaliwa kichwa we wa ISM uwe na pc unlesss utaliwa kichwa narudia tena pale shule ni ngumu sana
 
Vijana mnaoenda ardhi nawashauri pale shule ni ngumu sana ngumu mnoooo ukizembea unaliwa kichwa we wa ISM uwe na pc unlesss utaliwa kichwa narudia tena pale shule ni ngumu sana
Wewe naona ushamaliza au sio!?ila hakuna kinacho shindikana bro kikubwa mapambano iyoo PC ni basic requirements Tumeona almost Tumeona prospectus inataka nini mpka sasa hakuna anaeogopa apo pagumu lakni watu wanafauru kwanini sisi Tutishikee Then izo ni Negatives notion kwamba ardhi chuo kigumu kuna chuo Bata!?wajibu wako kutukumbusha ila usitutishe sana wengine utawakata moto mapema.
 
Sikutishi tatizo watu hampendi kuambiwa ukweli
 
Nitajie chuo Chenye elimu rahisi!?Jibu Hakuna chuo chenyee elimu rahisi wala kozi rahisi BUT ugumu wa elimu ya Chuo depends na kozi husika +passion kwa Mwanachuo X .Otherwize Juhudi+uwadilifu katika masomo&Seriousness Bro. Automatically G.P.A nzur Tu inapatikana ......
Hapa umemaliza kaka, kiufupi hakunaga kozi ngumu wala rahisi maana kozi rahisi kwako kwa mwingine ndio kozi ngumu na kozi ngumu kwako kwa mwingine ndio rahisi, cha muhimu ni self determination na kujua unataka nini na kwa wakati gani, mengine ni mambo ya kawaida kapige kitabu. All the Best.
 
Feed back ya kazi gani sasa unadhani wote mapimbi humu ndani..You lacks psychological skills bro yani uko so poor.Actually unapaswa kumshaur mtu na sio kumtishaa au kumkatishaa tamaa wewe wa hovyoo sana .
Sawa kwa matusi na dharau zako endelea ujuaji na kujua kwingi kiburi na dharau vitakuponza
 
Naomba kuulizaa kuhusuu bachelor of commerce in information management kam ni koz nzr na kam inawez let faid katk kujiajir na kuajiliw
 
Back
Top Bottom