KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Cooling system kama haipo vizuri lazma Fan ya AC itapiga kelele. Fuatilia cooling system ya gariNimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Asante sanaCooling system kama haipo vizuri lazma Fan ya AC itapiga kelele. Fuatilia cooling system ya gari
Mafundi AC chasp....JF msaada toshaNimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Bado nimawahitaji mafundi kiasi kilekile ninavyohitaji ushauri wenu wataalam wa JFMafundi AC chasp....JF msaada tosha
Hah hah haha...... hujakojozwa, hasira unakuja kuondolea mtandaoni.Mambo mengine haya tukisemanni ujinga mnakasirika.
Fikiri, Mjapani kalitumia gari mpaka kaamua alipeleka scrap, wajanja wameliwahi kabla ya kupelekwa scrap, wamekuketea wewe potoyo, halafu unalitumia miaka kibao na mababara yako mabovu, maintenance mbovu, likianza kukorofisha unapiga kelele kwenye mitandao usaidiwe!
Tupa tu hilo au Wauzie wauza used parts walikatekate.
Kwenye droo ya chini hapo seat ya abiria toa hiyo droo toa na chekeche washa ac kelele itakuwa inatoka hapo huwenda ulipaki sehemu panya wakaingiza kitu au blower imelegeaNimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Asante sanaKwenye droo ya chini hapo seat ya abiria toa hiyo droo toa na chekeche washa ac kelele itakuwa inatoka hapo huwenda ulipaki sehemu panya wakaingiza kitu au blower imelegea
Wewe mwenyewe kikogwe; overused, mbona ujatupwa?Mambo mengine haya tukisemanni ujinga mnakasirika.
Fikiri, Mjapani kalitumia gari mpaka kaamua alipeleka scrap, wajanja wameliwahi kabla ya kupelekwa scrap, wamekuketea wewe potoyo, halafu unalitumia miaka kibao na mababara yako mabovu, maintenance mbovu, likianza kukorofisha unapiga kelele kwenye mitandao usaidiwe!
Tupa tu hilo au Wauzie wauza used parts walikatekate.
Wewe mwenyewe kikogwe; overused, mbona ujatupwa?
Hapo ndio ujiulize wewe. Unataka kulinganisa Rolls Royce na scrap za kijapani?Wewe mwenyewe kikogwe; overused, mbona ujatupwa?
Rolls Royce la Makumbusho ya Taifa, Mkweche juu ya maweHapo ndio ujiulize wewe. Unataka kulinganisa Rolls Royce na scrap za kijapani?
Inategemea ni kelele za namna gani; lakini sehemu mbili za kususpect ni bearings pamoja na belts.Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Inategemea ni kelele za namna gani; lakini sehemu mbili za kususpect ni bearings pamoja na belts.
Halafu ndio unajiuta Tajiri Mkuu wa Matajiri?Rolls Royce la Makumbusho ya Taifa, Mkweche juu ya mawe