Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.

Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
Hivi hili nalo la kuleta hapa kweli?
Aah badili id mkuu
 
Halafu ndio unajiuta Tajiri Mkuu wa Matajiri?

Kalinunuwe kama utaweza.

Pata darsa dogo:

Vitu vyenye thamani havina bei "priceless".
Jambo usilolijua hakika litakusumbua. That's me. Jambo usilolijua ni kiza kinene.
 
Mlitaka nikodi chopper? Let me enjoy the adventure
Unajua ukiwa una miliki gari muda mrefu, hukosi fundi wako 1 au wawili waaminifu, hivyo ukipata shida simu ya kwanza ni wao wakushauri.

Sasa hapa unaonuesha sio mzoefu wa magari na unaogopa mafundi.

Tajiri utaogopaje?
 
Kitu zaidi ambacho hufanya kelele ukiwasha AC huwa ni mkanda umelegea haushiki vizuri kuzungusha kompresa yaani unateleza ndio unafanya kelele.

Kingine inaweza kuwa fan inagusa pahali au bearing zimekufa

Kingine ni kompresa bearings zimeharibika na kufanya kekele

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom