TAJIRI MKUU WA MATAJIRINimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia.
Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Jambo usilolijua hakika litakusumbua. That's me. Jambo usilolijua ni kiza kinene.Halafu ndio unajiuta Tajiri Mkuu wa Matajiri?
Kalinunuwe kama utaweza.
Pata darsa dogo:
Vitu vyenye thamani havina bei "priceless".
Mlitaka nikodi chopper? Let me enjoy the adventure
Unajua ukiwa una miliki gari muda mrefu, hukosi fundi wako 1 au wawili waaminifu, hivyo ukipata shida simu ya kwanza ni wao wakushauri.Mlitaka nikodi chopper? Let me enjoy the adventure
Sasa umekosa hoja.Hah hah haha...... hujakojozwa, hasira unakuja kuondolea mtandaoni.