Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
- Thread starter
-
- #21
Nilikuwa makin na hilo wakati naandika hiki kisa so kwa namna nilivyoiandika ni ngumu kuelewa km yeye ndio anazungumziwa humu!halafu isijekuwa huyo mtu ana mtandao mpaka jf.
Maliza kwanza Igwe najua utarudi tu,kwan nimejitahidi sn kufupisha coz hata mie sipendi vitu virefu!Hii ntarudi kuisoma_kwa sasa niko busy kubrash na kushona viatu vya wateja wangu,...yaani ni ndefu
Hii ntarudi kuisoma_kwa sasa niko busy kubrash na kushona viatu vya wateja wangu,...yaani ni ndefu
Dawa ni kukimbia tu mpaka wazazi wake akili ziwarudie....
Hata mie naona cha msingi ni kutafuta sababu ya kuepuka hiyo ndoa jmosi ndio mambo mengine yafuatie coz huyu mtu nae si wa mchezo!Kwa kuwa ameisha wambia wazazi wake hawataki mumsikiliza, mshauri amwambie ukweli huyo Jamaa kuwa hataki kuolewa naye. Kama naye atalazimisha, siku ya Ijumaa aondoke nyumbani ili kuepuka ndoa Jumamosi, hapo wote watakata tamaa.
Asante kwa moyo wako wa kujitolea.Mimi nipo tayari kumpokea jen ataishi kwa furaha na amani.
Sio hivyo mkuu_you got me bad,...nimesema niko busy hapa kijiweni na hivyo nikipata ka..muda ntarudi kusoma vizuri ili ni comment na mimi,..na kuhusu suala la mikataba sio kwamba hawasomi ni kwamba wanafanya makusudi wakiaahidiwa vijisent_....Mangungo was much more better kuliko hawa wa sasa ambao wanajua lakn wanafumba macho kuuza nchi...chief alisaini kwa kile alichokiaminiUvivu wa kusoma, ndio maana mikataba isiyokuwa na tija inapitishwa, halafu tunalalamika kuwa mikataba ni mibovu. Fikiria kama wewe ndio mwakilishi wa wananchi katika mkataba halafu usiusome kwa makini- Chiefu Mangungo na mikataba ya ulagahai!!
Uko sahihi lkn hii ishu imetokea jana na usiku wa kuamkia leo ndio jen kaongea na wazazi wake na hawaelewi aidi ya kumfanyia maombie na kudai kaingiwa na pepo,na baba kaweka msimamo kuwa ni lzm aolewe!Kwani watamlazimisha kukubali na kusaini huko kanisani? Bado anayo nafasi ya kusmema NO kama kweli hataki. Ni vema akawa muwazi katika hili kwa wazazi wake lakini zaidi kwa huyo mtarajiwa wake....maana katika hii stori yako huoneshi kama wamekaa kuzungumza kuhusu hizo revelations na muhusika!...ni vema angempa nafasi ya kujieleza kabla hajamuhukumu/hajamuadhibu.
Km haitapatikana njia ya kutofunga hiyo ndoa na akalazimishwa kwenda mpaka kanisan hapo kitakachofuata ni kumkataa mbele ya umati!Asubiri mpaka siku ya harusi.
Halafu ndo amkatae mbele ya umati
Kwani watamlazimisha kukubali na kusaini huko kanisani? Bado anayo nafasi ya kusmema NO kama kweli hataki. Ni vema akawa muwazi katika hili kwa wazazi wake lakini zaidi kwa huyo mtarajiwa wake....maana katika hii stori yako huoneshi kama wamekaa kuzungumza kuhusu hizo revelations na muhusika!...ni vema angempa nafasi ya kujieleza kabla hajamuhukumu/hajamuadhibu.
Asante mkuu,ila kwa sasa haruhusiwi hata kutoka nyumbani na zoezi hilo analisimamia baba,hilo nalo neno!Yes ; nadhani kwa sasa atafute sehemu aende haraka sana akae huko kwa muda naache ujumbe wa maandishi kuwa amesitisha huo mpango mzima bila hata kutoa sababu.
Pole jen
Ninachosema ni kuwa kabla hata hajawaambia wazazi wake ilibidi aongee kwanza na huyo mwanamke juu ya hayo 'aliyoyasikia' na kumweleza kutokana na hayo anakusudia kusitisha zoezi la harusi. Wazazi hawawezi 'kumwelewa' kwa sababu wanafikiria watauambia nini upande wa pili...na hasa kuhusu maneno ambayo pengine ni 'tuhuma' zaidi (kwa sasa).Uko sahihi lkn hii ishu imetokea jana na usiku wa kuamkia leo ndio jen kaongea na wazazi wake na hawaelewi aidi ya kumfanyia maombie na kudai kaingiwa na pepo,na baba kaweka msimamo kuwa ni lzm aolewe!
Labda baada ya leo km watabadili mawazo na kukubali kumsikiliza binti yao na wakaliongea kwa pamoja,kitu ambacho kila mtu anaombea!
Ni kweli shetan akiamua hata watumishi wangu anawahadaa na kuweza kufosi jambo la ajabu,asante kwa ushauri mheshimiwa!Hili la kusubiri mpaka siku itimie siliungi mkono; shetani na hila nyingi kama wazazi wameshindwa kumwelewa seuze kasisi wa kanisa.............hapana aise mwambir Jen aondoke sasa hivi wala asijikawize; Amani ya nafsi yake ni kitu muhimu zaidi ya vyote
My dia shuhuli ndio iko hapo,wazazi na ndugu wanajua ni mlokole safi na mshiko alionao ndio kbs!
Nisaw hapa ni kwamba ukiachia hizo habari za kuambiwa alimsikia jamaa mwenyewe akiongea na simu na kusema karibia utumwa wa ulokole feki unaisha kwan anafunga ndoa jmosi na kitendo cha kuwa na tatuu sehemu kubwa ya mwili vinatosha kumpa picha halisi ya mwanaume huyo ilikuwa ngumu pia kukurupuka bila kuchunguza mambo mengine km kule kwa wale ndugu zake feki,na kwavile siku ni chache cha msingi ni kutafuta namna ya kutofungwa kwa ndoa hiyo jmos mpaka ukweli wa jambo upatikane.Ninachosema ni kuwa kabla hata hajawaambia wazazi wake ilibidi aongee kwanza na huyo mwanamke juu ya hayo 'aliyoyasikia' na kumweleza kutokana na hayo anakusudia kusitisha zoezi la harusi. Wazazi hawawezi 'kumwelewa' kwa sababu wanafikiria watauambia nini upande wa pili...na hasa kuhusu maneno ambayo pengine ni 'tuhuma' zaidi (kwa sasa).
Mkuu ninachosema ni ikiwa wazazi hawataki kuelewa na wanalazimisha ndoa ifungwe bado anayo nafasi ya kukataa. Kukimbia kunahitaji kujipanga....yanaweza kumkuta ya kumkuta huko akajikuta ameingia kwenye matatizo makubwa zaidi. Lakini kikubwa katika hili ni binti kuongea na 'mtu wake' kwanza juu ya hayo mambo aliyoyasikia na kumweleza nia yake ya kusitisha zoezi zima na sababu za kufanya hivyo. Hii litatoa haki kwa upande wa pili kutoa maelezo yake (kujitetea) badala ya kufanya maamuzi ya upande mmoja.Hili la kusubiri mpaka siku itimie siliungi mkono; shetani na hila nyingi kama wazazi wameshindwa kumwelewa seuze kasisi wa kanisa.............hapana aise mwambir Jen aondoke sasa hivi wala asijikawize; Amani ya nafsi yake ni kitu muhimu zaidi ya vyote