Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu jf!ungeanzia jukwaa la utambulisho kule.Kemea hizo tatoo zitaisha tu!!!!
hongera sana sister itabidi nikuweke kwenye kundi la wanaharakati ... nashukuru kwa kufanikisha
wabongo bwana. kila mtu nchini anaigiza imani fulani wala hakuna mlokole au muislamu wa ukweli, kutumia dini kupata marafiki au wenza na kubagua watu kwa misingi hiyo, ni upuuzi wenye jina
Uko sahihi mkuu,ila ishu imeshuhulikiwa jana na ufumbuzi umepatikana,nimeandika hapo page ya tano nikiwa namjibu,BPM.mi naona Jen afanye mpango wa kutoroka,maana kusubiri siku ya arusi jamaa wa watu anaweza akakasirika
na kudai mzee wake Jen arudishe gharama zote alizotumia,mi naona ikiwezekana Jen atoreke
huku amewaandikia wazazi wake ujumbe kwa hayuko tayari kuolewa na kama atalazimishwa atajiua
ndo mana akatoroka,sametime amwandikie jamaa ujumbe wa simu kwamba hamtaki na hayupo tayari na
amepata safari ya dharura na amefanya uamuzi kuwa kuliko aolewe heri aende masomoni,
kwahiyo nadhani upande wa wazazi wake na upande wa jamaa wajue ukweli.
Ila Jen asije akasema anakoelekea wasije wakamtafuta,najua wazazi wanaroho ya huruma na
baadaye akiwaomba msamaha na kuwaeleza ukweli wanaweza kumwelewa.