Msaada tafadhali,binti kagundua mme mtarajiwa anaigiza ulokole, kumbe .......!

Hakutaka waongelee kwenye simu alichofanya alimwomba jamaa leo aje kuja kitu anataka waongee kuhusu harusi,ndio jamaa akataka kujua ni kitu gani jeny akamwambia hawawezi kuongea kwenye simu jamaa akaanza kuwa mkali akamuuliza kwann amesikia kiti gan mapaka anataka aje waongee wakati mambo ya harusi yameshakamilika,anasema alikuwa mkali kupita kiasi ndio jen akamwambia angependa waairishe arusi mpaka mwakan kwan kuna mambo anataka kuyafahamu kabla hawajafunga ndoa,hapo ndio akakata cm na hakupatikana tena mpka asubuhi.
 
jeni alichofanya kilikuwa ni sahihi lakini inaonekana alikuwa emotional sana na kwa mtu ambaye anajua anachokifanya lazima atashtuka , yeye angejaribu kutafuta njia ya kuonana naye lakini akiwa ameongozana na watu , lakini la msingi kabisa ambalo anatakiwa kulifanya ni kumuomba aahirishe shughuli hadi mwezi ujao kwa hoja ambayo ionyeshe kuna mtu ambaye anatakiw akuhudhuria , lakini pia jeni hakutakiwa kumwambia jamaa kwa vile hatua iliyofikia , ..

ilitakiwa familia imweleze jamaa kwamba wangependa wasogeze mbele ili kukamilisha masuala yao kwanza , lakini kimtazamo kwa vile jamaa anajijua kwamba ni mkosaji basi lazima ataelewa jeni kashtuka kwa hiyo sijajua hiyo speeed ya jamaa atakayokuja mayo
 
Ndio hapo tunasikilizia atarudi kwa style gani!ila kwa vile tunaamin mungu ndie aliyesaidia hata haya kugundulika basi mwisho wa siku ataonyesha njia ya kutokea.
 
siku ile hakufanikisha,ndio hivyo km hili litapita itamchukua mda sn kusahu,pole zenu!
una uhakika jamaa hakufanikiwa kwa maelezo aliyokupa huyo tayari kashamegwa sema alishindwa kukunyooshea maelezo ameingia ndani na jamaa akamshawishi aonje kidogo wine na jen hajawai kunywa wine na baada ya kunywa alisikia usingizi kwa maana kwamba ilimlevya unafikiri kilichofuata n nini ninavyowajua wauza poda hawezi kuwa butu kiasi hicho uyo ameliwa na hamna mlokole apo wote wanaigiza
 
Ndio hapo tunasikilizia atarudi kwa style gani!ila kwa vile tunaamin mungu ndie aliyesaidia hata haya kugundulika basi mwisho wa siku ataonyesha njia ya kutokea.

ni sawa lakini je hadi sasa wazazi wake wako upande upi kimsimamo???
 
Amwambie ukweli tu mbele ya kanisa na wazazi wake...the truth shall make her free....

je ni wakati gani sahihi aseme??? nini madhara yake katika kufikisha ujumbe??
 
Huyo mdada, kishatoa tunda siyo?

Kama katoa si kanogewa? Au?

Sasa achague kimoja kuogopa tatuu au kufurahia utamu....... Ila ndoa ili iwe ndoa ni wanandoa kupendana, kuaminiana, kuridhishana na kuheshimiana. Kama hayo yote hayapo, naomba unisaidie kumwambia ODM namuuliza "ANASUBIRI NINI?"
Malabuku!
 
ni sawa lakini je hadi sasa wazazi wake wako upande upi kimsimamo???
Wao wanasema kuna watu wanaonea wivu kwa hiyo wamemjaza binti yao maneno ili mtoto wao asiolewe,na hivyo wako upande wa jamaa na wanasema lzm ndoa ifungwe!
 
Ndo matatizo ya upofu wa fikra,wazazi watakuja juta,tafuta ndugu wa karibu mumsaidie huyo binti isije kuja kula kwake!
 
Wao wanasema kuna watu wanaonea wivu kwa hiyo wamemjaza binti yao maneno ili mtoto wao asiolewe,na hivyo wako upande wa jamaa na wanasema lzm ndoa ifungwe!

je hakuna watu ambao wanaweza kukaa na wazazi wa jeni na kujadili suala hili au hata kuwafanya wafuatilie maana jeni atabaki kisiwani
 
Kwanza nakusalimu kipenz babu yangu ktk jina la bwana wetu yes kristo,
Pili utamu alikuwa hajaonja so hata utamu wenyewe haujui,
Tatu ameshachukua hatua ya kumwambia jamaa kwa waairishe harusi mpaka mwakan jamaa hajasema kitu,
Na kuna watu wa mambo ya kisheria tayari wameshaenda kuongea na wazazi ili wamsilize bint yao na sio kumlazimisha!

Nasubiri swali lingine kutoka kwako babu ODM.
 
je hakuna watu ambao wanaweza kukaa na wazazi wa jeni na kujadili suala hili au hata kuwafanya wafuatilie maana jeni atabaki kisiwani
Kuna watu tumeongea nao jana na wamekubali kwenda kuongea na wazazi wa jen na tayari wanaelekea huko.
 
Ndo matatizo ya upofu wa fikra,wazazi watakuja juta,tafuta ndugu wa karibu mumsaidie huyo binti isije kuja kula kwake!
Uko sahihi hilo tumeshalifanya na kuna watu wameenda kuongea na hao wazazi.
 
Kuna watu tumeongea nao jana na wamekubali kwenda kuongea na wazazi wa jen na tayari wanaelekea huko.

ok naamini utaendelea kutujuza , japo inaonyesha mapambano yanaweza kuwa makubwa ..
 
ok naamini utaendelea kutujuza , japo inaonyesha mapambano yanaweza kuwa makubwa ..
Yes kwa hali ilivyo lzm mapambano yatakuwa makubwa,nitawajuza kila kitakachoendelea!
 
No mie sijaenda,nimewaunganisha hao watu na jeny mwenyewe wameenda na yule jiran yangu ambaye ndio rafiki yake jeny.

hahaha haya maana nilitaka uomba nafasi ya upendeleo niwepo kwenye huo msafara .. je wameshafika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…